Katika Ibada ya Jana tulimwona Mungu akiponya na kuokoa, watu wanaendelea kupokeamiujiza yao na wengine wanampokea Yesu kuwa Bwana wa Maisha yao. Wiki hii kuna mwanamziki mashuhuli ameokoka yeye Anaitwa Dede ni mpiga ala za muziki na ni mtaalamu wa Studio. Nilifanya nae maongezi na kunidokeza kuwa yeye ndiye aliyepiga gita kwenye album ya marehemu Remmy Ongala ile ya gospel na kwa sasa anapigia kwenye bendi maarufu sana ya king Kiki hapa Dar. Sifa na utukufu kwa Bwana. vile vile alikuwapo Rungu la Yesu mwimbaji wa hip hop hapa TZ ambaye yeye yuko na kauli mbiu Yesu Okoa Mitaa YOM tulimwona Bwana akimtumia.
![]() | ||
| Rungu la Yesu alitutembelea na kuimba na ujumbe wake wa YOM |
![]() |
| Huyu ni Dede mpigaji ala maarufu hapa Tz ameamua kuokoka |
![]() |
| watoto wa Yesu |
![]() |
| Mtumishi Rachael akiombea wahitaji |
![]() |
| uweponi mwa Bwana |
![]() |
| Papa Ever akimshukuru Mungu kwa jinsi anavyompigania na kumtetea kila itwapo leo |
![]() |
| Maombezi |
![]() |
| HAPA MTUMISHI WA MUNGU ALIKUWA ANAFUNDISHA SOMO KUTOKA KITABU CHA AYUBU 38 :12-13 |
![]() |
| Rungu la Yesu akiimba |
![]() |
| Maombezi |
![]() |
| mama huyu alishuhudia baada ya kuponywa alikuwa amepooza mwili mzima baada ya maombezi Mungu amemponya na sasa yuko mzima kabisa |











No comments:
Post a Comment