Picha za ibada huduma ya Assaph chini ya mtume na nabii Assaph ben
assaph
Sunday, 25 May 2014
IBADA YA KUBARIKI WATOTO
Ibada ya Leo pamoja mambo mengine yaliyokuwepo ni kuwaweka wakfu watoto. Mtumishi was Mungu mtume na nabii Assaph Ben ndiye aliyeongoza ibada hiyo.
IBADA YA KUBARIKI WATOTO
Ibada ya Leo pamoja mambo mengine yaliyokuwepo ni kuwaweka wakfu watoto. Mtumishi was Mungu mtume na nabii Assaph Ben ndiye aliyeongoza ibada hiyo.
Friday, 23 May 2014
Tuesday, 13 May 2014
MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA LA TANZANIA
Tangu Mch Kiongozi wa kanisa la Assaph ministries International aonyweshwe maono ya vita itayo ipata Tanzania kama hakutakuwa na toba na maombi ya kuomba rehema, kanisa limeingia katika maombi ya kuombea nchi.
Akiongoza maombi hayo mama Mch alifundisha andiko kutoka katika kitabu cha 2nyakati 7:14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha , na kuomba na kuutafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao. Vile alisema tunatakiwa kuwaombea viongozi wa nchi ili wasije ipeleka nchi katika majanga ila Mungu awape hekima na busara katika kuongoza nchi.
Alisoma andiko lingine 2timoth 2:1-2 basi kabla ya mambo yote nataka dua, na sala na maombezi na shukrani zifanyike kwaajili ya watu wote. Kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka tuiishi maisha ya utulivu na amani katika utauwa wote na ustahivu.
Baadae maombi yalifanyika tunahamasisha kila atakae soma habari hii aingie kwenye maombi ya kuombea nchi na washirikishe na wengine. Amen
Sunday, 11 May 2014
PATA KIONJO CHA WIMBO MPYA WA SAMMY~SHITUKA
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Saturday, 10 May 2014
MTUMISHI REV BEN AONYESHWA MAONO YA VITA KATIKA NCHI YA TANZANA MAOMBI YAHITAJIKA KUNISURU
Monday, 5 May 2014
IBADA YA JUMAPILI TAR 04/05/2014 KATIKA PICHA, ONJENI MUONE BWANA YU MWEMAHAPA
![]() | ||
| Rungu la Yesu alitutembelea na kuimba na ujumbe wake wa YOM |
![]() |
| Huyu ni Dede mpigaji ala maarufu hapa Tz ameamua kuokoka |
![]() |
| watoto wa Yesu |
![]() |
| Mtumishi Rachael akiombea wahitaji |
![]() |
| uweponi mwa Bwana |
![]() |
| Papa Ever akimshukuru Mungu kwa jinsi anavyompigania na kumtetea kila itwapo leo |
![]() |
| Maombezi |
![]() |
| HAPA MTUMISHI WA MUNGU ALIKUWA ANAFUNDISHA SOMO KUTOKA KITABU CHA AYUBU 38 :12-13 |
![]() |
| Rungu la Yesu akiimba |
![]() |
| Maombezi |
![]() |
| mama huyu alishuhudia baada ya kuponywa alikuwa amepooza mwili mzima baada ya maombezi Mungu amemponya na sasa yuko mzima kabisa |











