assaph

assaph

Thursday, 13 November 2014

Matukio katika picha ibada ya tar 09/11/2014

Familia hii walimshukuru Mungu kwa mponya mama yao aliyekuwa mahututi na alipona baada ya kufanyiwa maombi na mtume Assaph Ben




Mama aliyekuwa mahututi hajitabui alipona baada ya kufanyiwa maombi



Mtume na Nabii Assaph

Familia ya Mawala walimshukuru Mungu kwa kumponya mtoto wao ambaye alizaliwa na matatizo ya kiafya ambapo hapo kwanza walizunguka kwa waganga bila mafanikio lakini wakayapata kwa Yesu.




Ibada

Watu wakiwa kwenye maombi

Mama Assaph akiombea mhitaji


Sunday, 28 September 2014

PICHA ZA IBADA YA LEO TAR 28/09/2014

Ibada ya leo ilikuwa na uwepo wa nguvu za Mungu zisizo za kawaida kuwafungua watu mbalimbali waliokuwa wamefungwa.
Add caption