![]() |
| Familia hii walimshukuru Mungu kwa mponya mama yao aliyekuwa mahututi na alipona baada ya kufanyiwa maombi na mtume Assaph Ben |
![]() |
| Mama aliyekuwa mahututi hajitabui alipona baada ya kufanyiwa maombi |
![]() |
| Mtume na Nabii Assaph |
![]() |
| Familia ya Mawala walimshukuru Mungu kwa kumponya mtoto wao ambaye alizaliwa na matatizo ya kiafya ambapo hapo kwanza walizunguka kwa waganga bila mafanikio lakini wakayapata kwa Yesu. |
![]() |
| Ibada |
![]() |
| Watu wakiwa kwenye maombi |
![]() |
| Mama Assaph akiombea mhitaji |















No comments:
Post a Comment