assaph
Sunday, 9 November 2014
Sunday, 2 November 2014
Sunday, 28 September 2014
Sunday, 21 September 2014
IBADA KATIKA PICHA TAR 21/09/2013
Binti aliyekuwa amefanyiwa dawa na kuwa kama zezeta akifanyiwa maombi katika ibada ya leo
![]() |
| Mama huyu akitoa ushuhuda ya matendo makuu ambayo Mungu amemtendea kipindi chote cha uja uzito hadi kujifungua |
![]() |
| Binti huyu alikuwa ametupiwa pepo la mauti na alikuja akiwa amebebwa lakini baada ya maombi sasa anaweza kutembea |
![]() |
| Pastor Ben akimwombea Haji Mohamed ambae alikuwa hawezi hata kusimama alikuwa amelazwa hospital ya Muhimbili lakini baada ya maombi aliweza kutembea. |
![]() |
| Mwl Rachel akifundisha Kipindi cha Alfa |
![]() |
| Mama Mchungaji Assaph akimhudumia mtu aliyekuwa na nguvu za giza |
Subscribe to:
Posts (Atom)




















































