assaph
Sunday, 27 April 2014
Friday, 18 April 2014
KARIBU KWENYE SEMINA YA PASAKA INAYOANZA LEO
Doxa! Kutakuwa na semina ya Neno la Mungu ya Pasaka itakayoendeshwa na Mtume na Nabii Benjamin Asaph, mahali kanisani - kwenye ukumbi wa Heroes lodge Rozana, Buguruni itakayoanza leo Ijumaa kuu saa tisa mchana mpaka jumapili. Tafadhali usikose kufika, walete wagonjwa, viwete na wenye kulemewa na mizigo mizito, nguvu ya Mungu itakuwepo kuponya. Umebarikiwa na Bwana. Tafadhali wajulishe washirika wote.
Labels:
SEMINA YA PASAKA
Location: Dar Es Salaam Tanzania
Dodoma, Dodoma
Friday, 11 April 2014
Subscribe to:
Comments (Atom)