assaph
Thursday, 20 March 2014
Thursday, 6 March 2014
IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU YAFANA NI KATIKA HUDUMA YA ASSAPH
Jumapili iliyopita ilikuwa ni ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kufikisha miaka 3. kwa mjibu wa Mchungaji kiongozi Rev Ben alisema huduma hiyo ilianzishwa tar 13/02/2011. huduma hiyo iliyopo Buguruni Rozana katika ukumbi wa Heros hotel imekuwa baraka kwa watu wengi ndani ya nchi na nje ya nchi. Akizungumuza katika ibada hiyo alisema anamshukuru Mungu kwa kuwatia nguvu kwani wamefanya huduma bila kuchoka mchana na usiku na wakati mwingi wamekuwa wakiwafuata wahitaji kwenye majumba yao kuwahudumia.
huduma yetu tumejikita sana katika maombi na maombezi pamoja na ushauri wa mambo mbalimbali ya kiroho, hakuna lisilo wezekana kwa Mungu wetu watu wote wanaokuja wanapata majibu ya mahitaji yao
![]() |
| WAMAMA JESHI KUBWA WAKIIMBA WIMBO |
![]() |
| PRAISE TEAM WAKATI WA SIFA |
![]() |
| kUABUDU |
![]() |
| uWEPONI MWA bWANA |
![]() |
| REV BEN AKIFANYA MAOMBI |
![]() |
| MAMA MCHUNGAJI AKIHUBIRI |
![]() |
| MOJA WA WALIOHUDHULIA IBADA HIYO AKISHUHUDIA BWANA ALIYOMTENDEA KUPITIA HUDUMA HII |
![]() |
| BAATHI YA WAANZILISHI WA HUDUMA HII WAMEKUWAPO KWA MIAKA YOTE 3 |
UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA 0782499991 AU 0754499991
Subscribe to:
Comments (Atom)
















































