| IN THE
PRESENCE OF HOLY SPIRIT
|
PRAISE AND WORSHIP SECTION
MR MARTIN'S FAMILY THANKS GOD FOR NEW CHILD BORN IN THERE HOUSE
| Mama huyu alimshukuru Mungu baada ya Mungu kumtendea Muujiza wa watoto wake kusomeshwa bure kabisa, ni mama mjane ambaye kulipa ada hizo ilikuwa shida kwake kulipa Mungu wetu ni Shadai. |
| Familia ya Mr Mgita nao walimshukuru Mungu kwa Mambo makubwa ambayo Bwana amefanya katika familia yao |
| Dada huyu alimshukuru Mungu baada ya Biashara zake kuanza kwenda vizuri baada ya kuanza kuwa zimedoda. |
| mama huyu anaishi Mafinga huwa akija Dar anakuja Kusali Assaph ministry |
| dada huyu alimshukuru Mungu baada ya kufanyiwa maombi na kupata kazi |
| Assaph akiwa ameshikilia magongo baada ya kumuombea mtu |
| Mama huyu alikuwa na matatizo ya miguu na mgongo lakini Bwana akamtendea muujiza |
| Mama huyu akimshukuru Mungu |
No comments:
Post a Comment