assaph

assaph

Tuesday, 10 September 2013

PICHA ZA IBADA MAALUMU YA KUOSHWA MIGUU ILIYOFANYIKA ASSAPH MINISTRIES BUGURUNI ROZANA TAR 01/09/2013

Picha hizi hapa chini ni picha za ibada maalumu ya uoshaji wa miguu uliofanywa na watumishi wa Mungu wa Assaph ministries. ibada hiyo maalumu ilianza na kipindi cha alfa ambacho kinafundishwa na mama Assaph. na baadae kulukuwa na kipindi cha Kusifu, neno la Mungu na hatimae ulifika wakati wa kuoshwa miguu. Ibada hizo ambazo ni adimu kufanywa na watumishi wa Mungu wa silu za leo. na mwisho kulikuwa  na ibada ya ushirika Mtakatifu.
Mama Assaph akifundisha kwenye somo la Alfa




Mama Assaph aliwafanyia watu maombi




Watu wakiwa wamedondoshwa na nguvu za Mungu

















Mama Assaph akimalizia kipindi cha Alfa

Kipindi cha ushuhuda mama huyu alishuhudia Muujiza aliotendewa na Mungu baada ya kufanyiwa maombi baada ya kupitiliza muda wa kujifungua




Lidya moja ya waimbaji wa sifa




Assaph Benjamini akiwa madhabahuni







Mama Assaph akiwa amezama


uweponi mwa Bwana




Assaph akifanyia watu maombi


























Assaph Benjamini akifanyia maombi maji kabla ya kuanza kunawisha washirika miguu

Neno likisomwa


Hatimae kazi ya kuosha miguu ikaanza


















Hata watoto nao walinawishwa miguu



















waimbaji wa sifa wakiimba wakati watu wakinawishwa miguu







































kwa maombi ushauri unaweza kuwasiliana na Mtumishi wa Mungu Assaph Benjamini kwa no 0782499991 au unaweza kutembea kanisani kwetu Buguruni rozana kwenye shule ya Mopaki ulizia Heros inn panda mpaka juu kabisa utakuta ukumbi

No comments:

Post a Comment