![]() |
| Mama assaph akihudumu katika kipindi cha Alfa |
![]() |
| Mama huyu akishuhudia matendo makuu ya Mungu |
![]() |
| Kipindi cha ushuhuda |
![]() |
| Mama huyu anaishi Dodoma alikuwa na tatizo la Moyo lakini kapona kabisa baada ya kufanyiwa maombi |
![]() |
| Mama huyu alishukuru Mungu kwa kuwafunika vitenge watumishi hawa |
![]() |
| Akifanyiwa maombi mengine |
![]() |
| wakati wa kumwabudu Mungu |
Baada ya neno ulifika wakati wa maombezi ambapo watu wengi waliombewa na kufunguliwa
![]() |
| Binti huyu akishuhudia Jinsi alivyopata kazi baada ya vyeti vyake kuombewa na watumishi wa Mungu na Interview ikawa rahisi kwake na sasa ameshaajiriwa Glory to God |














































































No comments:
Post a Comment